Ni uonevu tu!!
Sii hekima kumwonea mtu mnyonge ndugu yangu! Bao 8 kwa mtu Mnyonge- sii hekima!
Kwa nini wasiwafunge MU au Chelsia bao 8!
Hii ni uonevu uliopita kipimo!
Nakuunga mkono, si uliona jinsi walivyotandaza ball siku ya fainali na AC Milam, hata kama walishindwa? Kwa hiyo na mwaka huu huenda wembe ukawa huo huo!
Sisi Red Devils wa Trafford tunawasubiri kwa hamu.
mie ngekua nna uwezo wa kumshauri benitez...ngemwambia afuate nyayo za mourinho mapemaaa ase this week yaweza kuwa mbaya mno kwake...asije akaishia timuliwa tuu ifikapo dec 16...maana atapata kipigo cha pili mfululizo kwenye ligi n yaweza ikawa hitimisho la kutolewa champs.league
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.