Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa.
Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje.
Wadau hivi...
Mbabe ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano na Mwananchi Digital ikiwa ni siku moja baada ya kuchapwa na Tshimanga Kantompa wa DR Congo.
Bondia huyo namba mbili nchini kwenye uzani wa super middle...
Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha...
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa.
Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa...
Salaam wakuu,
Binafsi ninaamini Aishi S Manula ndiye mlindalango bora wa kitanzania kwa sasa ila kuna jambo ananikera sana.
HAWEZI KUCHELEWESHA MUDA (nimemuona kwenye michezo mingi ikiwemo wa...
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa.
Amesema Dullah...
Kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa Sofascore, golikipa mahiri wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba, Aishi Manula, hadi sasa ndiye mwenye rating kubwa kuliko magolikipa wote walio na...
Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo.
Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri...
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua.
Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea...
Habarini Za Wakati kama Huu…
Vilabu vyetu vinavyoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara huwa vinahangaika sana kwenye kuhakikisha Ligi Yetu Inakuwa Bora na Yenye kusisimua, Haya huonekana Wakati wa...
Kwema wakuu?
Hawa wawili ilikua wazichape Leo ukumbi wa PTA, pambano limeshindikana sababu Cheka anasema kapata ajali, amekuja na "hogo" mkono wa kushoto wakati anahojiwa na Mtangazaji Ahmed Ally...
Tatizo la Dulla Mbabe ni hili:
Sishangazwi kupigwa, ni matokeo kwenye ngumi kama ilivyo kwenye michezo yote kushinda na kushindwa ndio mchezo.
Ila kushinda na kushindwa kote kuna sababu na ni...
Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo...
Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli...
Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar...