Leo stars itatua kimasomaso.Stars anashinda 2 kwa nunge. Wazee wa mikeka suken hii correct scores weka ata laki tano
Qatar tutaenda wajameni ila saiz watu watabisha weeee ila nmeshatabiri mmLeo stars itatua kimasomaso.
Kuwepo kwa Kennedy Juma leo kunaleta matumaini kidogoMimi sio mzalendo ila leo poleni sana mliobeti mkampa benin ashinde
Weka staz win or draw utanishukuru baadae