Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Popote alipo, mpira una umudu uko na physique ya ball na mwili na kasi. Ombea upate kocha aku-train na wewe ujibebe sasa usjibemende. Sema wabongo wengi wanaanzaga kujudge foota ya msee...
2 Reactions
4 Replies
884 Views
Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba! Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo. Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau wa soka naulizia ile timu ya watoto wa mitaani iliyochukua kombe la dunia kule Brazil ilishapotelea wapi?
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Naangalia mechi ya WC qualifications Africa Kenya dhidi ya Mali kocha kamuweka beki ya kulia na anaimudu vema. Simba tangu aumie pale kati anacheza Kennedy Juma au Mkongo yule akiwa na Wawa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu Zawadi Mauya kiungo mahiri mkabaji wa Klabu ya Yanga ameteuliwa kujiunga na Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania Uteuzi huo ulifanywa na Kocha Mkuu Kim Paulsen unaanza leo October 8,2021
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Saudi Arabia’s sovereign-wealth fund wapo kwenye mazungumzo ya kununua klabu ya mpira Uingereza, Newcastle United F.C. Kwa kiasi £340 million ($445 million). Newcastle United inamilikiwa na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
napenda kuchukua fursa hii kuwauliza wakazi wa tanga kulikoni soka mkoani hapo limepota kabisa kilikuwa na timu za kutisha kama hizi COASTAL UNION 1.HAMISI MAKENE 2.SAID KORONGO 3.DOGLAS...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Who is who? Why? Nani ni nani na kwanini?
0 Reactions
105 Replies
11K Views
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa...
8 Reactions
48 Replies
9K Views
maandiko matakatifu yanasema ukweli hukuweka huru na mimi leo hii nimeamua kuongea ukweli ambao nahisi utaniweka huru. ukweli huu uko wazi kwa baadhi ya watu wanaoifuatilia na kuitakia mema...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Mniwie radhi kwa herufi makubwa, nimeichukua hii toka kwa Michuzi kama ilivyo. SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI A.K.A TFF LEO IMEIFUNGIA TIMU YA YANGA KUTOSHIRIKI MICHEZO YOYOTE YA KIRAFIKI NA...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mzee Karume alikujengeeni jengo hilo zuri tu bureee! Mbona mwashindwa kulitunza pamoja na mihela yote mnayoimwaga. Sijui kwa nini mzee Karume asiwajengee kama hilo Miembeni. Mna bahati mwaikejeli.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Kutoka kwa Ujugu kuwa leo kama hawaoni vile.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Inawezekana leo Oktoba 7, 2021 waarabu wa Saudia wakainunua Newcastle United. Uwekezaji unategemewa kua mkubwa zaidi ule wa City, hii italeta vita kubwa sana kuwania nafasi 4 za juu kushiriki...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom