Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nilipokuwa mdogo baba alikuwa akinipenda sana Mimi kuliko ndugu zangu wengine , lakini alinipenda tu na hakuwahi onesha upendeleo wa wazi ..TFF mmefeli katika hili ...huenda timu nyingine za ligi...
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote... Nilipoiona AZAM na bosi tajiri...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
. Leo kazaliwa Legend wa United Andy Cole, una ambiwa uhamisho wake kuja United kutoka Newcastle ulisababisha bifu zito kati ya Alex Ferguson na kocha wa Newcastle Kevin Keagan [emoji23] Ni stori...
3 Reactions
0 Replies
833 Views
Kuna wachezaji ambao hawana na mapenzi na Azam lakini wamewalazimisha kubaki kucheza Azam. Wachezaji hawa baadhi Yao wamewafungia kwa kisingizio Cha utovu wa nidhamu. Ukweli ni kwamba club...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
RC wa Mara (tena Kwetu kabisa GENTAMYCINE) ulitoa Ahadi ya Tsh Milioni 10 kwa Timu ya Biashara United FC kama wakiifunga Simba SC na hawakufanikiwa. Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) Antony Mavunde...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo: 1. Bryson David Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Juma kahtib a.k.a Nugaz alifanyiwa fitna na msukule hadi akapoteza kazi pale utopoloni lakini cha kushangaza majina ya wahamasishaji bora kwenye tuzo za TFF yametoka lakini Jina la Nugaz halipo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa...
17 Reactions
36 Replies
6K Views
Michael Jordan weighs in on NBA's COVID-19 protocols, vaccinations: 'I'm a firm believer in science' Michael Jordan faced criticism during his playing career for his apolitical views, but the NBA...
1 Reactions
1 Replies
815 Views
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Yanga wamepigwa rungu huko CAF Kwa kuendekeza ukanjanja wao waliozoea kuufanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara na yakawakauta yalio wakuta . Hivi sasa wanahaha. Na vikoba kupata hiyo pesa...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro. Timu kubwa na kampuni kubwa kununua...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME JUMLA YA MAGOLI KATIKA...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa. ====== SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
Dakika chache zijazo, utapigwa mchezo wa Fainali ya Uefa Nations League, Spain Vs France katika dimba la San Siro pale jijini Milan, nchini Italy. Ikumbukwe hii ni fainali ya pili, baada ya ile...
3 Reactions
135 Replies
9K Views
Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera πŸ˜„,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…