Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze. Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
warning Napita tuuuu mue makini na Chelsea tfay drw njemjee
0 Reactions
7 Replies
531 Views
Wakati nchi nzima imechachamaa kutokana na mchango wa shilingi milioni 100 ilizotoa klabu ya Yanga kusapoti kampeni za CCM, kuna jambo lingine lilipita kimya kimya katika Harambee ile na ambalo...
21 Reactions
43 Replies
5K Views
Humu ndani naona Feisal Salum ndiye mchezaji anayepambwa sana kuwa ni mchezaji kiwango sana kupita wachezaji wengine wazawa. Lakini sikuwahi kusikia kuna timu nje iliyoonyesha nia ya kumchukuwa...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside. Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amewataka Watanzania kufurika na kuujaza Uwanja wa Mkapa kwenye michuano ya CHAN Msigwa ameshangaa uzito wa Watanzania kwenda uwanjani kuishangilia taifa...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Rasmi Naomba muelewe mambo ya kutuana vidole vya macho ooh karia kaipendelea timu fulan naomba niwajulishe tumefanya mabadiliko na sasa rasmi Bodi ya ligi itajitegemea na sisi tutasimamia...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka. Kuna wale wanaoichukia Yanga...
3 Reactions
4 Replies
747 Views
"Kila ninapoingia hapa, siwezi kujizuia kumkumbuka namna alivyotembea, alivyotawala mpira. Lilikuwa jambo la kipekee kabisa; tofauti na lolote nililowahi kuona." Hayo ni maneno ya mmoja wa...
2 Reactions
1 Replies
483 Views
We welcome you back
3 Reactions
3 Replies
391 Views
Sisi ndio Host kwenye haya mashindano...na mwenyeji ana haki zake... Haki zake ni pamoja na kuhusishwa kupanga muda sahihi wa mechi kuchezwa katika nchi yake. Kucheza saa mbili usiku sio desturi...
2 Reactions
2 Replies
410 Views
Huu usajili wa azam msimu ujao unatisha.Wadau mnasemaje?
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
3 Reactions
15 Replies
835 Views
Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
22 Reactions
95 Replies
4K Views
Mzee wa VAR Mchome Mapovu anasema Simba Day waalikwe Yanga lakini wasiweke Kombe maana watawaaribia shughuli Yao. Ili Simba wajipime fuleshi na kikosi chao kabla ya ngao ya jamii ni shart...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…