Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty...
Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya...
1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi.
2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi
3.Sina wa...
Yanga msimu huu inakumbana na changamoto kadhaa ambapo kubwa zaidi ni kuanza maisha mapya bila mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa ambaye Khalid Aucho. Kwangu mimi huyu ndiye alikuwa ndiye mwamba...
Kwenye Mada moja kwa moja,
Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI...
Nina furaha sana..
Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..
Sifa zote angepewa mama..
Kila kona tungesikia mama mama...
Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea...
Hongera sana kwa wana haki popote pale nchini Tanzania.
Leo ilikuwa ni Haki vs Dhulma na uonevu.
Upuuzi na ushamba umeshindwa ila endeleeni kukaza mafuvu.
Nmejipatia tsh 1,200,000 baada ya kubet na jamaa yangu mmoja mwana CCM ambaye aliniambia leo piga ua T. Stars inashinda. Iwe isiwe. Nami nikasema haitoshinda. Nimefanikiwa kushinda mimi.
Tsh...
1. Kiungo Yussuf Kagoma nawashauri Simba watafute kiungo mwingine wa chini vinginevyo msimu unaokuja mtakuja kulia, mechi na RS Berkane alikula red card akawakosesha ubingwa huku kwenye CHAN mechi...
Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.
Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga...
Rais Samia kesho jioni nenda kambini kwao,ukawatie hamasa vijana ili wacheze kufa kupona na kuifunga Morocco.Vijana wakikuona kambini kwao,watapandisha mori sana
Umofia wana Sports !
Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo...
Tunakuomba mnyazi Mungu, ulisema atakayekuomba utampa, mimi mtanzania nakuomba utujaalie ushindi leo dhidi ya Morocco ili tuingie nusu fainali.
Kila jambo tumelifannya kwa ajili ya nchi leo...
Hii timu(kenya) haina wachezaji tishio sana lakini ukiangalia kuna kitu wanakionyesha , jamaa wapo kundi la kifo lakini wanaonesha upinzanI mkali sana. Huyu atatufaa sana kuelekea Afcon 2026