Hello Taifa Stars Fans !
Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024.
Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni...
Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16
Soma pia...
Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera...
Katika zama hizi za taarifa za haraka, tumeshuhudia tabia inayozidi kuenea ya “kuiba” mafanikio ya watu kwa misingi ya asili ya wazazi, badala ya ukweli wa uraia na uwakilishi halisi.
Mfano ni...
1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki?
2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa...
Kama inanvyosemekana Kwamba wananchi ndo icon/ deep state ya soka hapa nchini .......Baada ya sowah kufanya ujinga kwenye urambulisho wa makolo
Maazimio yaliyotoka ni kuwa ....sowah hata...
Swali:
Je Nchi zinahiari ya kushiriki mashindano ya CAF?
Maana Hawa Jamaa baada ya Kutolewa na Uganda wanatapatapa eti walipeleka kikosi Cha 3 lakini nacho kimeonewa.
Ukweli uko wapi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ngao ya Jamii Kuzindua Rasmi Msimu Mpya wa Mashindano ya TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa soka kuwa mechi...
Sitaki nirejee nukuu ya Rage alivotupatia jina letu pendwa.
Sisi wanasimba Leo tumebubujikwa na machozi ya furahia kama Mwashamba kutoka jukwaa la siasa baada ya ushindi fake wa Wallace Karia...
Nimetengeneza kundi la wasap nimewaunganisha watu 100 na kuwaomba sana ijumaa mtoko ni Lupaso tu not otherwise.
Chonde chonde mtanzania Morroco atakufa kWa umoja na mshikamano
Waganda wako juu...
Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026.
Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa...
Wakuu hili kitendo kimenishtua sana Mimi kama mdau wa soka no 1 Africa
Professionally Ahmed ally ni mkuu wa kitengo Cha habari Cha wanasimba so why timu iwe misri yeye awe bongo??...nani...
Achana na magoli ya Pacome,Boyeli na Nondo,achana na kasi ya umeme ya Ecua na Chikola ila naomba tuzungumzie “Romain Folz Ball”
Mechi ya kwanza ya ushindani ya Folz wote tumeiona,anataka timu...
Mashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa
Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi
Lakini cha...
Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia...
Sio habari nzuri na huwa sipendi kutia watu matumaini
Naandika kile nachokiamin
Naoona final ya chan
Tanzania vs 🇰🇪
Ft
Kenya anakuwa bingwa
All dbest
Mawazoo haya n yangu hayafungamani na...
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Bayern Munic.
Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...