Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Caf wamechagua mabao manne yatakayopigiwa kura kupata goli Bora la wiki, miongoni mwa hayo lipo la sadio Kanute ,Simba vs Gendamarine liliofungwa Benjamin mkapa. Source:Mwanaspoti
0 Reactions
3 Replies
951 Views
🗣“Sio siri kwa sasa Yanga ni timu tishio Afrika, mpaka sasa nimefatilia Ligi za nchi zote Afrika msimu huu Yanga ndio timu pekee Haijafingwa na sasa wapinzani wanajua wakija Kukutana na sisi...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa nimemuona msemaji wa Simba huko YouTube akimtembelea na kumpongeza mzee aliyekuwa na kitochi uwanjani. Hii si sawa kwani anahamasisha vitendo vya utovu wa nidhamu unaoweza kuigharimu...
20 Reactions
55 Replies
4K Views
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Wameonyesha tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yoyote hapa Bongo land kwa kuongoza kuuza jezi kuliko timu yoyote hapa Bongo. Kumbuka msimu uliopita...
6 Reactions
137 Replies
8K Views
Timu 54 zinaongoza ligi mbali mbali Africa ila YANGA inaongoza ligi ya nane afrika. Ni kwa mujibu wa taasisi iitwayo ifhs
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tangu kuanzishwa kwakwe mwaka 1932 clabu ya Young Africans almaarufu kama Yanga Sc wamepita zaidi ya wachezaji 1000 walio itumikia timu hii kwa nyakati tofatuti tofauti na vizazi tofauti tofauti...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika NBC Premier League, leo tunafunga mwaka 2021 kwa mechi baina ya vinara Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji FC . Yanga wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kileleni mwa msimamo wakati Dodoma...
9 Reactions
269 Replies
21K Views
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga SC Said Ntibazonkiza [emoji1060] ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC [emoji1241] Pia Kocha Mkuu wa Klabu hiyo, Nasreddine Nabi...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
KUNA uwezekano mkubwa kwa mabingwa wa Tanzania Bara, kupangwa kundi moja na mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho, Etoile Sportive du Sahel ya Tunisia katika hatua ya makundi. Ingawa upangaji...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Katika makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga SC ya Tanzania imepangwa katika Kundi D pamoja na na Rayon Sports (Rwanda), U.S.M Alger (Algeria) na Gor Mahia (Kenya). Yanga ilifuzu hatua ya...
6 Reactions
43 Replies
10K Views
Kinara wa kundi D' akiwa na alama (7) kibindoni, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC leo March 20, 2022 anashuka kwenye Dimba la Stade de I'Amitie Cotonou Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kwenye mchezo...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea...
6 Reactions
90 Replies
7K Views
Kama mashabiki was man United tunaichukuliaje kauli ya mkali ibrahimmovic kuwa "Timu ya wanawake ya Barcelona hata wakiwa na mimba wanaweza kuifunga timu ya wanaume ya MAN UNITED Je unaiamini...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli...
5 Reactions
69 Replies
5K Views
MODS naomba heading isibadilishwe hata kidogo sababu hawa makanjanja nilidhani ni bahasha za khaki tu na ushabiki kumbe maskini ya Mungu wengi wao ni upeo mdogo wamekimbilia hiyo kazi sababu...
1 Reactions
9 Replies
978 Views
Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda...
26 Reactions
61 Replies
5K Views
Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport. Ila...
13 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom