Manara: Yanga yauza jezi mara tano zaidi ya klabu nyingine

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Wameonyesha tena kuwa wao ndio wenye fan base kubwa kuliko timu yoyote hapa Bongo land kwa kuongoza kuuza jezi kuliko timu yoyote hapa Bongo.

Kumbuka msimu uliopita pamoja na wananchi kumaliza vibaya bila ubingwa ila ni timu iliyoingiza mashabiki wengi uwanjani kuliko timu nyingine so kwa vigezo hivi vianaifanya Yanga kuwa ni timu yenye watu wengi, wanajua nini maana ya soka....kwa kushabikia....

Je nini maana ya kuuza jezi mara tano zaidi ......? Mfano ni maana yake ni kwenye list hii:

Klabu tano zilizouza jezi zaidi

1. YANGA

2. YANGA

3.YANGA

4.YANGA

5. YANGA

6: Hapa ndipo zinaanzia timu nyingine mfano Coastal, Mbeya City, Mtibwa, Kagera na wengine


Source: Yanga news Manara

FB_IMG_16454523727688957.jpg
 
Tutawezaje kuthibitisha kauli iliyotolewa na mtu club hiyo? Amejuaje mauzo ya club nyingine ikiwa ametoka huku kabla hata msimu haujaanza??


Mwambieni alete facts, porojo zake zimeshazoeleka.
Maduka yanayouza bidhaa mkuu....yameonyesha Kuna biashara nzr za jez ya yanga zaid
 
Back
Top Bottom