Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Haya sasa jambo limewafikia mashabiki wa Yanga kuhusu jezi mpya za Simba Katika hali isiyokua ya kawaida Mashabiki wa wanga wameibuka na kilio kikali Baada ya zile jezi kuvuja ...na imeonekana ni...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba ni timu iliyoanzishwa mwaka 2009 , imeingia ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu , inafundishwa na raia wa nchi kawaida kisoka ya Austria aitwaye RALPH HASENHUTTI ...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI? Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa...
0 Reactions
3 Replies
595 Views
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale. Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja Δ°brahim Ambokile. Kama kweli zile ni...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kipa wa Brazil, Ederson, amekamilisha uhamisho wa kudumu kutoka Manchester City kwenda klabu ya Fenerbahce ya Uturuki. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka City baada ya miaka minane...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza. Au jukumu la...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilikuwa nasubilia kwa hamu kujua kama zile jezi zilizovujishwa za Simba kama zilikuwa ni jezi halisia hili nijiridhishe na jambo Fulani,,, Lakini nimejiridhisha Leo kwamba zilikuwa ni jezi...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
Newcastle United Football Club is a professional football club in Newcastle upon Tyne, England, that plays in the Premier League, the top tier of English football. Founded in 1892 by the merger of...
6 Reactions
328 Replies
18K Views
Bruno ni 10 hio 8 haiwezi Ugarte ndio kashakuwa chizi. Casemiro miguu ishakuwa mizito Mainoo anakimbia kama amefungwa mawe mgongoni. Dirisha linafungwa saa nne kamili usiku na sioni dalili ya...
1 Reactions
3 Replies
443 Views
Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka. Soka ni mchezo unaofurahisha na...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025. Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
🚨 π”π¬πšπ£π’π₯𝐒 π”π¦πžπ€πšπ¦π’π₯𝐒𝐀𝐚: Wilson Nangu (22) amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKT Tanzania. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ¨ Kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anatarajiwa kuwasili Dar...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Kuanzia kesho (septemba 2) klabu ya Young Africans itamiliki eneo lenye ukubwa wa eneo la mita 37,500. Hii kitu iko na ukweli wowote? Kutoka mwamaspoti
3 Reactions
5 Replies
596 Views
Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani...
0 Reactions
4 Replies
687 Views
... [emoji471] π—–π—›π—”π— π—£π—œπ—’π—‘π—¦ [emoji91] Kabla Pep hajatua England wachambuzi wa England walikuwa wanaziponda ligi zingine kwa kuziita ni FARMER LEAGUE. Kwamba ligi hizo hazina ushindani kama ligi yao...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Offside kwa mbaaaaali......si tunanufaika na marudio ya picha ...... of course ila ni very tight .......kosa ni la line one.....n.k ni kauli ambazo hutawala vinywa vya wachambuzi pale...
0 Reactions
2 Replies
339 Views
Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…