Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022.
Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo...
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa 😂😂
Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka...
Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana.
sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza...
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao...
“Kujiunga na Amazulu kwangu ni mafanikio makubwa kwani nimekuwa nikiitazama na kuifuatilia kwa muda mrefu. AmaZulu Football inajulikana sana kwetu Zambia kwa sababu watu wengi wanatazama PSL,"...
Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa.
1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili.
Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United...
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa...
Kuna taarifa zinazomuhusu kiungo wa Yanga Feisal Salum kuhitajika na vilabu viwili nje ya Tanzania. Kwenye email rasmi ya Yanga na CEO kuna ofa mbili za Feisal Salum, kutoka klabu ya Ligi kuu...
Salaam Wana JF
Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania
Hii...
Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe.
Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola.
Wakati haya yakiendelea huko yanga...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania.
Taarifa hiyo...
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya...
Mwanza.
LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana...
Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA.
Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷
1. GENTAMYCINE (Huyu ndo...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
•...