Nimepata tetesi kwamba kombe letu mpya ni la plasti na limegharimu TFF kiasi cha Tsh 200,000.
Kwa kuwa nahisi harufu ya ufisadi-kwani kwa makisio ya haraka kombo hilo halizidi Tsh 20,000/= pamoja...
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Mimi bado naamini kiungo Frank Domayo bado ni fundi hasa wa mpira hasa anapocheza kiungo wa chini, Domayo ambaye alipatwa na majeraha sana kiasi kwamba Azam walimpeleka Afrika Kusini kwa matibabu...
Srinagar
Mwanamke nyota wa Kriketi kutoka Jammiu na Kashmir Jasia Akhtar, anaenda kuchezea Klabu ya Mohammedan Sporting katika Ligi ya Kriketi ya Wanawake ya Duniani daraja la kwanza ya Dhaka...
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.
Hivyo haina...
Prof Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC...
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935?
Mara nyingine kila Senti ya baada...
TYCOON BUSINESS 2022
Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga...
By Kashmir Sports Watch
Srinagar
THE star women cricketer of J&K, Jasia Akhtar, is going to play for Mohammedan Sporting Club in the upcoming Dhaka Premier Division Women Cricket League in...
Mwishoni mwa mwaka huu mashabiki wa soka watapata nafasi nyingine kushuhudia fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Qatar.
Qatar ni moja ya nchi inayopingwa vikali na mashabiki wengi wa...
Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al Ahyl ya Misri, Pitso Mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la...
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu.
Hebu chekini hapa.
Hakika hii ndio klabu kubwa...
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao, lakini pili waaandishi wetu hawana uwezo wa kuandika...
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka...
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top...
Hasira zangu zinaenda kwa Watu hawa Wafuatao....
1. Mwenyekiti Mangungu
2. CEO Barbara
3. Kocha Msaidizi Matola
4. Meneja Rweymamu
5. Mratibu Abbas
6. Kocha Mkuu Pablo
Kuna Watu Wanne tajwa hapa...
Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako.
Chanzo: Simba Sports Club
Akina GENTAMYCINE...