Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Watu wa Soka, Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili. Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa Sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa...
11 Reactions
101 Replies
7K Views
Naomba kujua je Kuna nchi za nje hata Africa zimewahi kuweka kambi Tanzania zaidi ya sisi utaskia Mara Misri mara Ugiriki Mara South Africa. Naomba msaada kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Simba yaondoka kwa mafungu mafungu kwenda misri? Nini shida Kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo Julai 14 mchana kwenda nchini Misri huku katika msafara wao walikuwepo wachezaji 19, benchi la...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu...
16 Reactions
81 Replies
7K Views
Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano...
1 Reactions
11 Replies
863 Views
SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Al ahly SC ni club pendwa barani afrika, na hata nje ya Afrika, ni klabu inayoongoza kuwa na many fans nchini Misry na hata all afrikans kwa ujumla, ikifuatiwa na Zamalek kisha Raja Casablanca...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Orodha ya majina ya usajiri wa wachezaji msimu 22/23 epl Man city Erling haaland(Borussia Dortmund) Stefan Ortega (arminia bielefield) Kelvin Phillips (Leeds United ) Arsenal Marquinhos(sao...
3 Reactions
0 Replies
693 Views
Imeripotiwa kuwa Cristiano Ronaldo, 37, anamshawishi Kocha Diego Simeone ili amsajili kwa ajili ya kuichezea Atletico Madrid msimu ujao. Ronaldo anataka kuondoka Manchester United ilia pate...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure...
5 Reactions
5 Replies
852 Views
Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT.. Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya...
7 Reactions
92 Replies
7K Views
Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa. Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa...
32 Reactions
74 Replies
5K Views
Ila kinachonishangaza nikumuona kagere na mugulu natamani mmoja abaki mwengine aende ila wote wapo labda kocha anaitaji kuwaona kabla haja fanya maamuzi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habari.. Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom