The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,137
Wakuu habari..
Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania..
Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
Mwenye ufahamu atuwekee details hapa,haya ni Mashindano gani na mfumo wake wa kuchezwa itakuaje? Pili itashirikisha timu zipi na ni vigezo gani vitatumika?👇