Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa...
Walianza Berkane. Wakafanya umafia wao kwa Adebayor.
Wakafuata Yanga SC. Wakafanya umafia wao Kwa Aziz KI.
Akaja Rais wa Vipers SC akafanikiwa kuwabania Ceaser Nzoki. Hata ikawafanya waende...
Ukitazama kwa umakini na ukaweka kando ushabiki na mapenzi utakuja gundua kuwa kwa kikosi hiki cha wakina Chibu Denis, Sakho na pimbi wenzao wakina Banda utagundua dhahiri kuwa hakuna jambo jipya...
Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?
Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?
Gape...
Upo msimu ujao.
Msimu ambao panick buy ya wachezaji itafanyika pasi na kuzingatia vigezo na matakwa ya kiufundi. Msimu ambao hata mwalimu atakayrkuwa akiiongoza hatoweza kuwa na First 11 yake kwa...
Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSC Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejikuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa...
Aisee Mimi sijaliona vyema hili tukio.
Nasikia huyu Bench warmer aliingizwa dakika za 70 na akaonekana anaingia huku anavaa hereni.
Yaani Timu yako iko nyumba ya bao moja unapata muda wa...
Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.
Tangu apate ile nafasi pale Simba SC naona kama amewarudisha sana nyuma wale Jamaa. Hakuna jambo amefanya ambalo mwanasimba anaweza kuona...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana suala la hii kampeni ya Nani Zaidi?
Kwa uwiano uliopo kati ya mashabiki wa Simba na Yanga, inawezekana vipi wapiga kura wa Simba wawe wengi mara mbili zaidi...
Tunashangaaga sana inakuwaje wachezaji wetu hawaendi mbali.
Wakienda mbali basi wanaishia hapo Uarabuninna kucheza msimu mmoja na kugeuza.
Kwanini wasitokomee huko huko kwenye Ligi nyinginezo...
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Simba SC hawajafurahi sana ujio wake kwa namna wakivyo furahi ujio wa Junior Lokosa, Mugalu na Perfect Chikwende?
Je, hii inasababishwa na mashabiki walio wengi...
Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi.
Pili shukrani...
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona.
Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu.
Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta...
Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC.
Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani
wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao...
Hili sakata bado zito sana.
Ni mawili.
Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake...
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.
Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.
Katika kupiga story mbili tatu...
Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi.
Pili shukrani...
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona.
Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu.
Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.