Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1.Haji Manara, huyu alikuja simba amepauka kama katoka ukraine vitani, aliokotwa mitaa ya Lumumba akiwa dalali wa magari na kesi za utapeli Hans Pope akazizima 2. Senzo Mazingiza, huyu alikuja...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Awali ya yote niwasalimu nashabiki wenzangu wa kijani na njano Bila kupoteza muda nichukue fursa hii kwa niaba ya wazee wa jangwani na mashabiki wote watiifu wa wananchi kuulaani uongozi wa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni Joseph Yona Na soccer letu KWA MUJIBU WA TAARIFA NI KUWA WALIRUSHIANA MANENO KATI YA HAJI MANARA NA RAIS WA TFF KARIA KAMA WALIRUSHIANA MANENO WHY AFUNGIWE MMOJA AU RAIS WA TFF ANARUHUSIWA...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kamati ya maadili ya (TFF) imefafanua vitu vifuatavyo kuhusu hukumu aliyopewa Haji Manara kutokujihusisha na soka kwa miaka miwili nje na ndani ya Nchi. 1. Anaruhusiwa kwenda viwanjani kutazama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya pengo la attack dog kutokea leo imeonekana kwamba kwa sasa hivi kutakuwa na ombwe kubwa la mtu wa kurusha dhihaka na vijembe kwa Barbara na Mo dewji Kwa kuwa ni wazi H Bumbuli hawezi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna hayamambo TFF inafungiamtu kujihusisha na mpira. Nauliza kama mpira hauwezi kufanyika nje ya TFF. Mtu anaweza kuanzisha ligi ambayo TFF hawahusiki kwa lolote?
0 Reactions
5 Replies
568 Views
Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na...
11 Reactions
176 Replies
14K Views
inaiskitisha sana, dah kwa hiyo mkatooka congo hadi ......he :D😜
1 Reactions
8 Replies
885 Views
Hongereni sana TFF kwa kulinda nidhamu ya taasisi yenu, hata hivyo mnatuacha njia panda sana kwan baada ya mwezi mmoja au 2, zungu pori atasamehewa, licha ya makosa yake kujirudia rudia lakini...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Niseme tu yanga ndiyo klabu inayoendeshwa kwa mpangilio wa hali ya juu yaani level za la liga, communication kati ya kitengo hadi kitengo ni ya hali ya juu na kwa nidhamu ya hali ya juu sana...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Aishi Manuka 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outtara 6. Victor Agban 7. Okra Messi wa Ghana 8. Clatous Chama 9. Moses Phiri 10. Lobi Manzoki...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini, Kwasasa Timu Ya Taifa Ya Tanzania kwa upande wa Wanaume kwenye mpira wa miguu, Kwa Miaka Mingi Imekuwa haifanyi vizuri katika Mashindano Ya Timu za Taifa. Hii inatokana na kukosa...
2 Reactions
6 Replies
759 Views
Goli la dogo Pape Sakho ambalo linawania Tuzo ya Goli Bora la Mwaka la CAF limeingia kwenye orodha ya magoli matatu ya mwisho ambayo yanawania tuzo hiyo. Sakho anachuana na Gabadinho Mango wa...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Kwa mlundikano wa Makosa ya Mhamasishaji wa Yanga SC na Jeuri zake pamoja na Dharau anazowafanyia Watendaji wa TFF Injinia Hersi Said na hata Watu wa Yanga SC wenye Akili wanajua kuwa kwa Haji...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri. Ilielezwa kuwa Man United...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili sakata bado zito sana. Ni mawili. Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Tuuweke ushabiki wa Usimba na Uyanga pembeni angalau kwa muda mfupi katika hii mada. Pamekuwa na ubishani mkubwa sana kuwa Clotus Chota Chama ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili. Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom