Asilimia Kubwa Ya Mashabiki Wa Simba SC Hakufurahishwa Na Usajili wa Moses Phiri?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Simba SC hawajafurahi sana ujio wake kwa namna wakivyo furahi ujio wa Junior Lokosa, Mugalu na Perfect Chikwende?

Je, hii inasababishwa na mashabiki walio wengi kufahamu kuwa huyu Jamaa ametokea ligi dhaifu ambayo hata Mugali alikuwa Top Scorer?

Wengi wanaona kuwa huyu jamaa amekuja kuwa kama trial player kuona kama ata click au la.

Ni kweli aliweza kufanya vyema dhidi ya Yanga SC ile iliyocheza katika “WIKI YA WANANCHI”

Yanga SC ambayo ilipoteza mechi ya mzunguko wa awali dhidi ya Rivers UNITED ya Nigeria. (Bingwa wa msimu huu wa NPFL)

Yanga SC ambayo haikuwa na Aucho, Diarra, Bangala, wala Mayele.

Unadhani ni kipi unafikiri kikawa ni sababu ya hawa jamaa kutokumkubali MOSES PHIRI mchezajj wao mpya.

IMG_0412.jpg
 
View attachment 2263026
Wewe mwana Yanga uhalali wa kuwasemea wanasimba unaupata wapi?
 
Huo utamaduni wa kitumwa kubeba wachezaji kwenye machela kama utopolo wanavyofanya simba haupo.
 
kambole huyo juu juu
 
Attachments

  • 1BC6FE14-61D3-4825-BB53-9309C7B4DB5B.jpeg
    1BC6FE14-61D3-4825-BB53-9309C7B4DB5B.jpeg
    30.2 KB · Views: 11
Mimi niko Yanga ila hata alipokuja CHAMA mashabiki hawakumuelewa, kwa Yanga watu walimuelewa MAKAMBO kuliko MAYELE lkn matokeo yake yanaonekana uwanjani.
 
Mashabiki wa Simba wameomba mwaka mzima ujio wa Moses Phili utimie sasa Mungu kajibu maombi.
mambo ni bambam.
 
Kwahiyo ndiomaana Kambole alienda kuflop lule SA (maana alitoka ligi dhaifu), na sasa amekuja kuendeleza ushenzi wake hapo Yanga.
 
Kumbe huko kwenu Yanga kumkubali mchezaji ni kuomba Mungu akubadilishe jinsia ili umzalie?
Kama unasubiri kauli kama hizo kwa wanasimba utasubiri sana simba hatuna ulimbukeni wa kishoga kama huo wenu.
 
Back
Top Bottom