Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mechi tulizoshinda kimataifa ni mechi gani bora wewe ulienjoy? Binafsi kwangu vs Platnums biriani ilipigwa. Simba vs Nkana 2-1 Simba vs As Vita 3-1 Simba vs Fc Platinum 4-0 Simba vs Red...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Mzuka Wanajamvi! Ukizingatia jamaa hapendi waafrika hili tukio lilimuudhi sana. Mmatumbi mmoja akiendesha Baiskeli alimuona Pep Guardiola kocha wa Manchester City akiendesha Baiskeli usiku wa...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji sasa timbwili ni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Huyo mnaemtetea kuwa kaonewa kaibuka tena na kudai atapambana hadi mumuue, hata kama kuna watu wanataka kumsaidia, huyu ni wa kumsaidia kweli
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga Sasa yametimia. Kambi imevurugika, mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wao (CEO) Barbara Gonzalez, amethibitisha kuwa hadi kufikia sasa wamepokea simu nyingi sana kutoka klabu kadhaa zikiwemo vigogo wa Afrika Wydad na Raja...
18 Reactions
32 Replies
3K Views
Klabu ya Mchezo wa Karate ya Scorpion ya Jijini Dar es Salaam, imefanikiwa kutoa mikanda Meusi (Black Belt) kwa wanafunzi wa mchezo huo. Mkufunzi mkuu wa klabu ya Scorpion, Sensei Jerome George...
1 Reactions
6 Replies
921 Views
Chukua hiyo kwanza
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mohammed Dewji MO, ameleza furaha yake huku akimpongeza Nyota Pape Ousmane Sakho baada ya kushinda Tuzo ya goli bora la CAF 2022 mjini wa Rabat nchini Morocco...
18 Reactions
26 Replies
3K Views
Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Did you know that swimming improves health and is a good skill in life, it is also entertainment, Welcome to enroll your son in the swimming class this holiday season, the class will start on July...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20. Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake...
24 Reactions
353 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…