Kisa Yanga, Rivers UTD wazodolewa huko Nigeria

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji

sasa timbwili ni kwamba kaahidi kuwapeleka jijini madrid spain kwa ajili ya pre season na siyo mara ya kwanza kwani hata 2016 waliwahi kwenda huko

Maoni ya wanigeria wengi yamesikitishwa na ushamba huo wa kukimbilia nje ya nchi wakisema nigeria inazo facilities nyingi na teams nyingi za kujipima nguvu haina haja ya kwenda nje ya nchi kucheza na madereva teksi wa madrid kama simba ifanyavyo huko ismailia

Wameitaka kuiiga yanga na kutulia hapohapo jimboni kwao ili kufanya maandalizi ya nguvu na ikibidi wajifunze kuendesha team kwa mpangilio kutoka kwa Genius Senzo


rivers utd.JPG
 
Back
Top Bottom