Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa sasa atupishe, hakabi. Kwa kifupi ETH sijui anamuogopa, sijui ni mambo ya mikataba? Ila ni kirusi kwa timu yetu, hatufai, anatugghariimu. Ifike mahali aambiwe ukweli amechoka, apumzike. NB...
0 Reactions
9 Replies
583 Views
Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba. Huu sio uungwana. Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia. Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga...
13 Reactions
71 Replies
3K Views
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika Ila bado...
2 Reactions
11 Replies
767 Views
Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
Kama Yanga watajianda kujinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza watashinda ama sare na kupiga matatu. Nawaombea utopolo wapite ili nao wawe makundi harafu tuone wakicheza kule na huku kama...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Bila ya salamu Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa...
14 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia. Simba Queens...
12 Reactions
146 Replies
11K Views
Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda..... "Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo." Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake...
15 Reactions
33 Replies
7K Views
Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
JOCHO LA TOFAUTI: UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA SOKA LA TANZANIA. Uwekezaji katika Sekta ya michezo ya kubashiri Tanzania (Gaming/Betting Indutry) umekua kwa kasi sana ndani ya miaka 7. Kuna zaidi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya...
0 Reactions
13 Replies
799 Views
Ili kuvutia ufungaji wa magoli mengi kwenye soka na kuongeza burudani, basi FIFA waanzishe utaratibu pale ambapo timu moja itafanikiwa kufunga zaidi ya magoli matatu bila basi waongezewe pointi...
1 Reactions
15 Replies
979 Views
Tukiwambia mje na daftari na pen Simba ikicheza mnaleta kiburi .... Wachezaji wanaruka ruka Kama njegere. Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla...
2 Reactions
6 Replies
776 Views
Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana...
2 Reactions
6 Replies
921 Views
Jeff Bezos, 58, anaripotiwa kutaka timu ya Washington Commanders baada ya kufichuliwa kuwa wamiliki wake, Daniel na Tanya Snyder, walikuwa wakifikiria kuiuza. Wanandoa hao wamemiliki timu tangu...
1 Reactions
5 Replies
981 Views
Wakuu najiuliza tu. Wachungaji na mashehe mashabiki Waumini na washiriki mashabiki. Kwa ulaya EPL,Laliga,etc ila futiboli la kibongo linapromote uchawi na ndumba. Ndio maana Kuna Hadi benchi la...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Aslaam Aleykum wadau wa hapa JF. Acha niende direct kwenye Mada. Mimi ni mdau mkubwa sana wa michezo hasa basketball, Lakini football pia nafuatilia. Pia ni mdau mkubwa sana wa Media, Napenda...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom