Si bado wanatumia jina hili kama kejeli, siku tukianza kuwalima msibadilishe kauli zenu, eti eh wana nunua mechi au wana roga sana.
Kuna majina yanakuja na baraka zake. Kama hili la wala mihogo...
Poleni mashabiki wa Simba, yule mpishi wenu tegemezi mtamkosa kwenye michezo mitatu. Kwasisi Yanga mambo ni byuti byuti, tuna viungo wengi hadi wengine hatujui tuwafanyie nini.[emoji16][emoji16]
MKWASA"MASTER" GWIJI LA MPIRA NDANI NA NJE YA UWANJA,MWANAFALSAFA WA MPIRA WA KUSHAMBULIA MUDA WOTE.
Leo 12:15pm,19/01/2020
Charles Boniface Mkwasa "Master" beki bora kuwahi kutokea na kiungo...
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliyopita kimewatesa sana wana Simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa Simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii...
Nipenyezewa taarifa kutoka insiders wa kampuni ya Adidas kuwa, wako wanandaa dili ya merchandise kwa klabu ya Simba baada ya kuona watapata milliage kubwa barani Afrika.
Hi imekuja baada ya Simba...
EUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA
Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023.
Ratiba ya...
1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu
2. GSM na Rais...
Igweeee igweeee!!
Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji...
Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata...
We as Yanga fans would like to thank our president Engineer Hersi said for realizing that many of the fans who want our coach Nabi to be fired are those who do talk about Yanga all day long.
We...
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa...
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza.
Mtu anaweza kuchukia sana kwa kuitwa na mpenzi wake kiazi kitamu, lakini mtu yule yule akiitwa sweet potato na mpenzi anaweza kujiona yuko mawinguni kwa...
Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya...
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club...
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille.
Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.