Kutoboa ukiwa Yanga SC kwenda kucheza Soka la nje ni ngumu

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
593
2,037
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.

Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
 
Village fooler

JF-Expert Member
Mar 16, 2020
630
1,182
Utopolo ni utopolo tuu, hata hao akina Faisal wanaonekana wanajua coz wanacheza na timu zenye wachezaji wa daraja la chini ila wakikutana na timu ambazo wachezaji wanajua huwa hata hatuwaoni uwanjani. Mechi Kama ile ya Jana huyo feisal alifanya nn Pale uwanjani??
 
MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
3,220
4,969
Hilo halina ubishi. Yanga wanachoweza ni kuwapumbaza wachezaji na kuendelea kubaki duni. Anko Mrisho Ngasa ni mfano halisi wa wachezaji waliopaswa kucheza nje ya TZ ila kwasababu alikuwa na akili za kiutopolo akaishia kuwa alivyo. Hata Shaban Nonda kama sio ubishi na njaa ya kujikomboa angeishia Yanga kama kina Malima. YANGA NI KABURI LA VIPAJI
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
1,179
2,927
Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.

Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu

Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???

Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??

Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena

1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online

2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach

Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad

Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk

Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene

Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni

Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa 😅

Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu 😀
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
32,398
73,663
Utopolo ni utopolo tuu, hata hao akina Faisal wanaonekana wanajua coz wanacheza na timu zenye wachezaji wa daraja la chini ila wakikutana na timu ambazo wachezaji wanajua huwa hata hatuwaoni uwanjani. Mechi Kama ile ya Jana huyo feisal alifanya nn Pale uwanjani??
Eti kwasababu alishushwa chini namba 8
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
32,398
73,663
Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???

Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??

Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena

1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online

2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach

Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad

Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk

Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene

Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni

Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana

Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu 😀
Huyo Azizi Ki zile sifa walizomwagia kutokana na ule upepo wa Derby, jana zilikata

Kapiga freekick zaidi ya 10 na kuna sehemu zingine walibahatika kupata eneo zuri karibu na lango lakini zote alitungua mianzi
 
13 Reactions
Reply
Top Bottom