Kichwa cha habari kimebeba maneno ya Msemaji Ahmed Ally akiongelea usajili wa kiungo mpya mkabaji wa Simba Kante.
Sitaki kuhafifisha maneno yake maana namuheshimu Sana, lakini kwa hili Kagoma...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba.
Soma > Mwenye taarifa...
Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo...
Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa.
Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa...
🇹🇿 LIGI KUU TANZANIA BARA
.
16:00 KMC FC - Singida Black Stars
BETWAY PREMIERSHIP
20:30 Siwelele - Orlando Pirates
🇪🇸 LA LIGA
20:00 Athletic Bilbao - Girona
20:00 Espanyol - Valencia
22:30...
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Hemed Suleiman, anayejulikana zaidi kama Morocco, kuwa Kocha wa muda (Caretaker) kwa mechi za Kimataifa. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km.
Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa...
Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga,
Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga
Gamondi kamfunga...
viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao.
Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea...
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Mkuu Fadlu Davids baada ya kuhudumnu na timu kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Makubaliano haya ni matakwa binafsi ya kocha...
Kulingana na mapendekezo ya Mkurugenzi wa Michezo na tathmini ya jumla iliyofanywa na kamati ya michezo kuhusu hatua ya maandalizi ya msimu huu wa sasa, pamoja na mechi za kwanza rasmi, Klabu ya...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB) na Kampuni ya JUSTFIT, leo Septemba 22, 2025 wamezindua rasmi mpira maalumu utakaotumika katika michezo yote ya Ligi Kuu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akimkabidhi zawadi ya gari golikipa wa Timu ya Taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Yacoub Mohamed, aliyoahidiwa wakati wa mashindano ya CHAN.
Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu!
Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅
Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅
Miloud Hamdi atafukuzwa...
Kombe la Ngao ya Jamii limekuwa na maana kubwa kwa nchi yetu, si tu kama pazia la kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu, bali pia kama sehemu ya kurudisha kwa jamii kupitia mapato ya viingilio.
Lakini...
Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya kuripotiwa kutimkia Morocco kujiunga na Raja Casablanca.
Taarifa zinaeleza kuwa Davids, ambaye awali aliwahi...
"Leo tunatangaza kwa furaha kubwa ushirikiano rasmi kati ya MO na Klabu ya Coastal Union kwa msimu wa 2025/2026!
Kwa MO, kauli mbiu yetu imekuwa daima: Tunagusa Maisha Yako.
Na leo, dhamira hiyo...
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali...