TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Simba Sports Club kwa kushirikiana na mzabuni wa jezi na vifaa vya michezo vya klabu, Kampuni ya Jayrutty Investment East Africa Limited umebaini kuwepo kwa jezi feki...
Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed...
Maisha hayana formula kabisa
Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé
Msimu huu ni mchuano mkali...
Billy Vigar, a former Arsenal academy player, has tragically died aged 21.
Vigar was placed into an induced coma after suffering a serious brain injury whilst playing for Chichester City last...
Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26🔰
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Dakika ya 17
Max nzengeli anakosa goli la wazi
Dakika ya 24
Yng 0-0 pmb
Dakika ya 28
Max nzengeli...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathon ya Dunia Kilomita 42, zilizofanyika...
Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji...
Yanga haijaandika barua kwa bodi ya ligi kuwa haitacheza mchezo wake na Simba juni 15, walichokifanya sasa hivi ni danganya Toto tu kwenye page yao ila washaazimia kucheza mchezo huo...
Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional.
Ni aibu kwa...
Sakata la mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambalo Yanga imeapa kuwa haitapeleka timu uwanjani Juni 15, mwaka huu, limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa mahakamani na mmoja wa wanachama wa Yanga...
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa...
Oscar Mirambo atakaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa TFF akichukua nafasi ya Wilfred Kidao ambayo anamaliza mkataba wake Septemba 30.
======
TAARIFA
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa...
Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.
Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa...
Wakuu,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho.
"Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja...
RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi
==================
Mashabiki wa soka...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika...
"Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu...
"Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila...