Wakuu.
I salute you kinsmen.
Huyu kijana ni uwezo wake mkubwa ndio ngumu kuuelezea
Alianza kuwa lulu tangu alipokuwa Tabora na sasa ni TRA inaitwa.
Leo yupo team kubwa yanga na dakika chache...
Haya wakulugwa uwanja wa Mkapa umeipiga serikali pesa zote hizo ila bado aonekani kama umefanyiwa ukarabati wa bei hiyo.
Hatujapigwa kweli na wajanja wa mjini waliko kwenye mifumo...
Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya...
Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi...
Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa...
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini
Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu...
Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar...
Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu.
Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya...
Dar es Salaam, Tanzania
CAF Confederation Cup 2025-2026
Singida Big Stars 2 - 1 Rayon Sports
Goal scorer for Singida B. Stars
Anthony Tra Bi Tra 58'
Idriss Diomande 44'
Goal Scorer for Rayon...
Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh
Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto
Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeibua mjadala mkali baada ya kutangaza rasmi umiliki wa timu ya soka ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA United Sports Club. Kwa maneno yao wamedai...
Mwanariadha nguli wa mbio fupi duniani, Usain Bolt, amesema kustaafu kumemfanya ajihisi “binadamu wa kawaida” baada ya kukiri kuwa siku hizi huchoka kupumua akipanda ngazi.
Bolt mwenye umri wa...
Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United...
Hatimae kiungo bora mkabaji wa muda wote, Segio Busquets ametangaza kustaafu soka kufikia mwisho wa msimu.
Busquets ambaye huwa anacheza kiungo mkabaji, amefikia uamuzi huo katika umri wa miaka...
Kuna watu walichukua jezi nyingi sana badara ya kugawa wakapeleka majumbani kwao mimi nliona mtu kwa macho yangu Temeke kachukua jezi kama 5 ivi kaweka kwenye kibegi.
Hii si sawa inashangaza kwa...