Tuwathamini wachezaji wetu

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,099
12,476
Kufuatia sakata la feisal salum ndio imenifanya nielezee haya niliyoyaona kwa wachezaji wetu na team yetu ya taifa na jinsi wazawa wanavyodhaurauliwa na kushushwa thamani.

Yaani watanzania sisi tunadharauliana sana tunawapa thamani na kuwatukuza wageni wakati wachezaji wetu wanadharauliwa na kupewa stahiki ndogo kuliko wageni halafu tunataka maajabu team ya taifa.

Duniani kote kwenye league zao wazawa wanapewa kipaombele na kuthaminiwa kuliko wageni ila nchi yangu Tanzania ni tofauti sana.

Watanzania waliomchukia George mpole kushinda kiatu cha mchezaji bora mbele ya mgeni kutoka nje ya Tanzania halafu tunataka twende afcon huu ujinga huukuti nchi yoyote yenye malengo na national team na soka la nchi yake.

Watanzania wanaobishana kati ya manula na diara nani kipa bora kweli huu ujinga huukuti popote kwanza league kuu ya nchini misri walipitisha sheria ya makipa wa team zote lazima wawe wazawa baada ya kuhangaika kupata kipa national team kwa mda mrefu hivyo makipa wa league kuu nchini misri wote ni wazawa.

Nenda pale ENGLAND uone wanavyothamini na kulinda wachezaji wao, wote tunajua kiwango cha Maguire kilivyo ila anaanza kikosi cha kwanza United na national team.

Juzi kacheza kwenye world cup mechi zote, leo hii Watanzania hawampendi beki wao mzawa bakari nondo mwamnyeto kisa tu alifungisha goal wanataka bangala aanze mnataka mshiriki world cup 2030 Tanzania sijui nani alituroga.

Wote nadhani mnamkumbuka leroy sane kipindi yupo Manchester city alipokuwa hapati namba Bayern's Munich wakamchukua kwa maslahi yake na team ya taifa hivyo hivyo kwa nyota wa Barcelona aliyekuwa Manchester city alipokuwa hapati namba feran torres wakaamua kumchukua Barcelona kwa maslahi ya national team.

Barcelona pale wanaamini gavi na pedri ni bora kuliko frank de Jong kitu ambacho sio kweli ila tu ni kwasababu de Jong ni mzaliwa wa holanzi na pedri na gavi ni wa Spain hakuna kingine.

Pale al ahly yupo percy tau na alikuwepo miquisoni sio kwamba miquisoni ameondoka al ahly kwasababu ya kiwango, hapana.

Wamisri wanaamini katika taifa lao wapo wachezaji wanaoweza kucheza kama miquisoni au percy tau licha ya kuwa mchezaji mzuri na anayebadilisha matokeo akitokoea bench ila waarabu hawaamini kama ni mchezaji mzuri kuliko wazawa licha ya kuwa mchezaji mzuri katika kikosi hicho ila hawamtaki na anakaa benchi.

Watanzania ambao wanapiga kelele kuhusu matola na mgunda kwasababu tu ni wazawa hakuna lingine wanaamini mgunda hafai kuwa simba head coach licha ya kufanya vizuri Caf champions league ila watanzania ndio wanaongoza kumkejeli na kumdharau kwasababu amekulia tanga na amecheza Tanzania.

Maajabu haya kwakweli wakati huo 90% ya makocha walioenda world cup ni wazawa na raia wa nchi zao wanazofundisha sasa mnataka wakwetu watoke mbinguni wakati simba na yanga ndio daraja.

Yaani watanzania wanaamini bigirimana ni bora kuliko feisal na okwa ni bora kuliko kapama tuwalinde tuwatunze wachezaji wetu kama kweli tunataka kufanya vizuri kwenye national team hawa kina habibu kiyombo, kina sopu, kina kibu denis, na Clement mziza, licha ya kuwa na makosa madogo madogo lakini ndio striking forward zetu.

Hao kina mayele kina phiri kina bangala na kina chama wote watarudi kwao team yetu ya taifa atacheza nani?

Tuamkeni watanzania tupende na kuthamini vya kwetu ndio maana kule singida big stars wamejaa wageni tena wazee yote kwasababu tunawatukuza wageni hawataki kurudi kwao wakati tuna vijana wengi sana wenye uwezo zaidi yao tuwape nafasi hao kina kisinda na akpan mbona wapo wengi pale temeke.

Ndio maana team yetu ya taifa hata ikicheza na somalia unaona inavyopata tabu Uganda kila siku wanatufunga kenya hatuwawezi wala Burundi wala Rwanda hatuwawezi wakati 90% ya wachezaji wao ni wazawa halafu tunataka kwenda world cup 2030 ngoja nipate breakfast nitarejea tuweni serious na mpira wetu na vijana wetu hakika tutafika nchi ya ahadi.
 
Kufuatia sakata la feisal salum ndio imenifanya nielezee haya niliyoyaona kwa wachezaji wetu na team yetu ya taifa na jinsi wazawa wanavyodhaurauliwa na kushushwa thamani,
Yaani watanzania sisi tunadharauliana sana tunawapa thamani na kuwatukuza wageni wakati wachezaji wetu wanadharauliwa na kupewa stahiki ndogo kuliko wageni halafu tunataka maajabu team ya taifa.

Duniani kote kwenye league zao wazawa wanapewa kipaombele na kuthaminiwa kuliko wageni ila nchi yangu Tanzania ni tofauti sana.

Watanzania waliomchukia George mpole kushinda kiatu cha mchezaji bora mbele ya mgeni kutoka nje ya Tanzania halafu tunataka twende afcon huu ujinga huukuti nchi yoyote yenye malengo na national team na soka la nchi yake.

Watanzania wanaobishana kati ya manula na diara nani kipa bora kweli huu ujinga huukuti popote kwanza league kuu ya nchini misri walipitisha sheria ya makipa wa team zote lazima wawe wazawa baada ya kuhangaika kupata kipa national team kwa mda mrefu hivyo makipa wa league kuu nchini misri wote ni wazawa.

Nenda pale ENGLAND uone wanavyothamini na kulinda wachezaji wao wote tunajua kiwango cha Maguire kilivyo ila anaanza kikosi cha kwanza United na national team juzi kacheza kwenye world cup mechi zote leo hii watanzania hawampendi beki wao mzawa bakari nondo mwamnyeto kisa tu alifungisha goal wanataka bangala aanze mnataka mshiriki world cup 2030 Tanzania sijui nani alituroga.

Wote nadhani mnamkumbuka leroy sane kipindi yupo Manchester city alipokuwa hapati namba Bayern's Munich wakamchukua kwa maslahi yake na team ya taifa hivyo hivyo kwa nyota wa Barcelona aliyekuwa Manchester city alipokuwa hapati namba feran torres wakaamua kumchukua Barcelona kwa maslahi ya national team Barcelona pale wanaamini gavi na pedri ni bora kuliko frank de Jong kitu ambacho sio kweli ila tu ni kwasababu de Jong ni mzaliwa wa holanzi na pedri na gavi ni wa Spain hakuna kingine.

Pale al ahly yupo percy tau na alikuwepo miquisoni sio kwamba miquisoni ameondoka al ahly kwasababu ya kiwango hapana wa misri wanaamini katika taifa lao wapo wachezaji wanaoweza kucheza kama miquisoni au percy tau licha ya kuwa mchezaji mzuri na anayebadilisha matokeo akitokoea bench ila waarabu hawaamini kama ni mchezaji mzuri kuliko wazawa licha ya kuwa mchezaji mzuri katika kikosi hicho ila hawamtaki na anakaa benchi.

Watanzania ambao wanapiga kelele kuhusu matola na mgunda kwasababu tu ni wazawa hakuna lingine wanaamini mgunda hafai kuwa simba head coach licha ya kufanya vizuri Caf champions league ila watanzania ndio wanaongoza kumkejeli na kumdharau kwasababu amekulia tanga na amecheza Tanzania maajabu haya kwakweli wakati huo 90% ya makocha walioenda world cup ni wazawa na raia wa nchi zao wanazofundisha sasa mnataka wakwetu watoke mbinguni wakati simba na yanga ndio daraja.

Yaani watanzania wanaamini bigirimana ni bora kuliko feisal na okwa ni bora kuliko kapama tuwalinde tuwatunze wachezaji wetu kama kweli tunataka kufanya vizuri kwenye national team hawa kina habibu kiyombo, kina sopu, kina kibu denis, na Clement mziza, licha ya kuwa na makosa madogo madogo lakini ndio striking forward zetu,
hao kina mayele kina phiri kina bangala na kina chama wote watarudi kwao team yetu ya taifa atacheza nani tuamkeni watanzania tupende na kuthamini vya kwetu ndio maana kule singida big stars wamejaa wageni tena wazee yote kwasababu tunawatukuza wageni hawataki kurudi kwao wakati tuna vijana wengi sana wenye uwezo zaidi yao tuwape nafasi hao kina kisinda na akpan mbona wapo wengi pale temeke.

Ndio maana team yetu ya taifa hata ikicheza na somalia unaona inavyopata tabu Uganda kila siku wanatufunga kenya hatuwawezi wala Burundi wala Rwanda hatuwawezi wakati 90% ya wachezaji wao ni wazawa halafu tunataka kwenda world cup 2030 ngoja nipate breakfast nitarejea tuweni serious na mpira wetu na vijana wetu hakika tutafika nchi ya ahadi.
Mjinga kweli!? Itoshe kusema hivyo...
 
Kwa hiyo kwenye timu yako ya simba, wazawa wanalipwa mshahara mkubwa kuliko wageni? Na kama unaona wanadharauliwa kwa kulipwa mshahara mdogo kuliko wageni, kwa nini usiwashauri sasa na wenyewe watoke kucheza nje ya nchi kama akina Samatta, Msuva, na wengineo; ili walipwe mishahara minono! Au ni lazima wachezee timu za Tanzania?

By the way, wakati wanasaini mikataba yao, walikuwa hawajui hiyo mishahara ni midogo?
Halafu tangu lini mishahara inalingana kwa wachezaji?

Maana hata Christiano Ronaldo, Lionel Messi, Kylian Mbappe, Neymar Jr, nk mishahara yao hailingani na wachezaji wengine kwenye vilabu walivyo/wanavyo chezea!! Tena waliwazidi wazawa wengi tu wa kwenye hizo timu zao!! Shida iko wapi kwa Yanga kumlipa mshahara mkubwa mchezaji wa kigeni, kuliko mzawa? Huwa unawasaidia hao wachezaji wa kigeni kulipia kodi na mambo mengine?

Halafu George Mpore ndiye mshindi wa hicho kiatu cha dhahabu msimu uliopita! Shida iko wapi mpaka leo bado unaendelea kulialia?

Ukija kwa upande wa walinda mlango; siku zote hupimwa kwa clean sheet zao! Na msimu uliopita, Diarra alishinda kwa sababu ya clean sheet chache ukilinganisha na huyo Manula!! Sasa unataka tulazimishe Manula ashinde, kwa sababu ya uzawa wake?
 
Inaonekana umesoma tu title hujasoma content kwa style hyo basi tuna safari ndefu kama wadau wa soka ndio kama nyinyi bendera fuata upepo
 
Inaonekana umesoma tu title hujasoma content kwa style hyo basi tuna safari ndefu kama wadau wa soka ndio kama nyinyi bendera fuata upepo
Nimesoma maelezo yako yote. Na kwa bahati mbaya mengi hayana mashiko.

Ukitaka mafanikio kwenye timu ya Taifa, ishauri serikali yako ya ccm kuweka bajeti kubwa kwenye michezo!

Ipeleke watoto wenye vipaji kwenye academy za Real Madrid, Barcelona, Chelsea, nk.

Iruhusu uraia pacha kama wanavyofanya Senegal, Morocco, Comorro, nk. ili kupata wachezaji bora wenye asili ya Tanzania kwenye timu ya Taifa; kama akina Yusufu Paulsen, nk!

Serikali/TFF wajenge uhusiano na mawakala wa Kimataifa, ili kuja kuchukua wachezaji wenye vipaji na kwenda kuwasajili kwenye vilabu vikubwa duniani.

Ila siyo kwa kutafuta sababu nyepesi! Ukienda Senegal, Ivory Coast, Ghana, nk wachezaji karibia wote wanaoitwa kwenye timu ya Taifa, wanatoka vilabu vya nje! Na wala siyo ndani ya nchi.
 
Tatizo lako umeingiza ushabiki kwenye andiko lote umeona feisal tu basi.
 
Tatizo lako umeingiza ushabiki kwenye andiko lote umeona feisal tu basi.
Na hata wewe huko kwingine umeongezea tu. Ila chanzo kikuu cha hii mada yako, ni huyo Fei Toto kulipwa mshahara mdogo kuliko baadhi ya wachezaji wa kigeni.
 
Back
Top Bottom