Wakuu tokea jpm aingie madarakani now imekuwa ni mwendo wa series tu,kila mteuliwa akiamka lazima abuni movie yake,ili aonekane anafanya kazi,,kama hi movie ya juzi ya mheshimiwa na gwanda
Wanawake wa Dsm,jamani tuoneeni huruma sisi wanaume wa mikoani,mtatuuuwa kwa aina hii ya maisha na mavazi.Huku Mkoani kwetu haya mambo hakuna kabisa....Tutakufa na kumaliza mitaji yetu tukija Dsm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.