Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Hahaha kudadeki. Kumbe hiii kitu tumefanya wengi.Hapo mmenikumbusha enzi zangu Miaka hiyo Christmas inaheshima sana,bila nguo Mpya haijawa sikukuu na utahuzunika sana,ukinunuliwa nguo mpya utaificha wasiione washkaji, na unakuwa unaona siku na masaa hayaendi kabisa,yaani usingizi unakuwa wa mang'amng'am kinoma yaani ilikuwa balaa
Ni noma MkuuHahaha kudadeki. Kumbe hiii kitu tumefanya wengi.
Usiombe,
Nilipoambiwa nasafiri toka mikoani kuja darisalama kwa gogo. Sikulala, nikamwamsha dingi saa 4 usiku ati tutachelewa gogo lililokuwa linapita saa 12 jioni.
Siisahau siku hiyo
Hizi ni bangi za bila kula chochote
Hahahaa, eti gogo. Umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo advance pande za magharibi mwa TZ. Ilikuwa ni mwendo wa kuzamia tuu gogo.
Complex;
Kila aliyepanda gogo anazikumbuka raha zake. Haswa kuwakwepa wale ma-tii tii. Mtu unasogea ukihesabu station. Unashuka ghafla na kuwahi kule alikotoka tii tii. Halafu halijai, ni rahaaa