Katika maisha unatakiwa kujua mwanao baadaye anakuja kuwa nani?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,521
13,110
1471238118929.jpg
 
Hizo style za jambazi, kama ni police ndo mtuhumiwa alie jambazi hilo
Sasa turudi upande wapili.
Sisi kama wanajamii tunamshauri nini mzazi/ mlezi wake ikiwa ni pamoja na vifaa anavyotumia mtoto kuchezea Kwa kipindi hiki cha utandawazi.( Kwa Sasa bunduki za watoto za kuchezea zinatoa milio ya baruti) hivyo ina influence michezo hatari kama hiyo.
 
Jambo la muhimu kwa mzazi kuwa Karibu na mtoto Kwajili ya kujua wapi alipo wapi anapaswa kuwa kumfundisha nini sahihi na nini cha muhimu kutenda na kutokutenda
 
Back
Top Bottom