Katika hali halisi karibu 80% ya Watanzanina wanaishi katika nyumba za aina hii.
Mshana, kaka, umewaza mbali sana!
Ni kweli kabisa, kundi hili ambalo ndiyo kundi kubwa, linatembelewa na viongozi wakati wa uchaguzi, wanapelekewa khanga, vitenge, kofia, na T-shirt. Wakiugua ugonjwa wowote zahati ina paracetamol. Watoto wao wataishi katika maisha hayo hayo, kwababu St Kayumba ina upungufu mkubwa wa walimu.Bado tuna safari ndefu sana kuelekea mapinduzi ya viwanda sayansi na teknolojia
Mhh, naogopa kuthema!![]()
![]()
unaua mbu kwa rungu
halafu rungu lenyewe limetengenezwa kwa nguvu za mbu...![]()
![]()
unaua mbu kwa rungu
Tena wangeweka utaratibu wa nyumba 5 kwa mwaka, na vijiji ambavyo havifikii malengo mtendaji na mwenyekiti wanawajibishwa.[size]Kuna kitu nakiwaza mfano hela za escro+richmond+iptl etc hela zote zingetengeneza nyumba ngapi za wananchi vijijini wenye mfano wa nyumba hiyo?[/size]
Ni wazo zuri lakini kwa watanzania hawa niwajuao wanaweza wakaacha kufanya kazi na kusubiri nyumba za bure..Tena wangeweka utaratibu wa nyumba 5 kwa mwaka, na vijiji ambavyo havifikii malengo mtendaji na mwenyekiti wanawajibishwa.
Asante kwa kuja mkuu!hiyo picha ya kitambo xna