Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Inategemea na context. Obama aliitwa kijana at 44 wakati anaingia state house na baba Ridh aliitwa kijana at 55. Ila wengi husema mwisho ni miaka 35.Hivi kijana inaanzia miaka mingapi kuishia miaka mingapi ???
Nimekusoma mkuu.Inategemea na context. Obama aliitwa kijana at 44 wakati anaingia state house na baba Ridh aliitwa kijana at 55. Ila wengi husema mwisho ni miaka 35.
Sio swala la inategemea, mwisho ni 45..hizo nyingine ni mbwembwe tu.Inategemea na context. Obama aliitwa kijana at 44 wakati anaingia state house na baba Ridh aliitwa kijana at 55. Ila wengi husema mwisho ni miaka 35.
Itakuwa kodi tu jamaa alivyo na usongo na kodi inaoonekana alianza kufuatilia haya mambo zamani sana.Hapo sijui alikuwa anagoogle nini
Itakuwa mambo ya Uchumi wa China na Rwanda.Hapo sijui alikuwa anagoogle nini