Kwa uwezo wa macho yetu ya kibinadamu kope huonekana hivi
Lakini kama muonekano huu ukikuzwa mara 50 inaonekana hivi:
Na hii ni kwa sababu kope zipo nje ya ngozi ya mwanadamu na husongwa...
Sio mara kwanza kupita katika zile studio za video muda wa karibu na saa 4 usiku au hata zaidi ya muda huo!!
Utakachokuta hapo licha uwepo wa vijana lakini na watoto wa umri mdogo nao unawakuta...
Mfalme wa Guinea akiwa ametulia zake ndani ya mkutano wa UN akisikiliza kwa Makini kinachojiri huku akiwa amejivalia vazi la kwao Maarufu kama Voodo....Hana Habari.