Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Karibuni Marafiki zangu Mlo wa Usiku huo. Je unanishauri nile kwa Ugali au Wali au Mkate hapo
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]View attachment 511612
Karibuni Marafiki zangu Mlo wa Usiku huo. Je unanishauri nile kwa Ugali au Wali au Mkate hapo
View attachment 511612
Karibuni Marafiki zangu Mlo wa Usiku huo. Je unanishauri nile kwa Ugali au Wali au Mkate hapo
samaki na muhindi, alaf anataka atupie na ugalo au waliMie hapo nakaribia kula samaki tu! Hivyo vingine jilie tu
Naimagine tu namna ya kula huo msosi....anapukuchua kwanza hindi kisha anakuwa anachukua punje kadhaa na kumega samaki,au anakulaje?samaki na muhindi, alaf anataka atupie na ugalo au wali
mweer!! [emoji23]
Hapo tafuta 'juice' halisi ya matunda (tena ukipata zile mixed fruits) ushushie ukalale.
Labda na glasi moja ya maji.
hahahahaNaimagine tu namna ya kula huo msosi....anapukuchua kwanza hindi kisha anakuwa anachukua punje kadhaa na kumega samaki,au anakulaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha
ki ukweli huu ulaji ni kitendawili na hata vikichanganyika tumboni sijajua vinaleta sumu gan humo
Unga limited umepanda bei ndugu, Kilo ya unga buku 2 wakati hindi moja la kuchoma mkoani sh mia mbili![emoji23]
hivi ukiumwa tumbo utamlaum nan?
ni mchanganyiko wa kula kabsaa huo!
Hii ni combination ipi Mkuu? Samaki wa kukaanga na muhindi wa kuchoma? Mhhh!
Khaa hilo hindi ndo linasimama badala ya ugali au