Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
Sio mara kwanza kupita katika zile studio za video muda wa karibu na saa 4 usiku au hata zaidi ya muda huo!!
Utakachokuta hapo licha uwepo wa vijana lakini na watoto wa umri mdogo nao unawakuta wakiangalia movie yenye mahadhi ya kiutu uzima tu!!!
Wenye studio hizi angalieni kizazi cha baadae tunakiangusha vipaji vyao kisha sisi tunasema MAISHA MAGUMU!!!
Je!!tulikiimarisha kizazi cha baadae?