Hivi ndivo kope zako zilivyo

Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,012
8,136
Kwa uwezo wa macho yetu ya kibinadamu kope huonekana hivi

8-Natural-Remedies-To-Get-Beautifully-Long-Eyelashes.jpg


Lakini kama muonekano huu ukikuzwa mara 50 inaonekana hivi:
eybrows.jpg



Na hii ni kwa sababu kope zipo nje ya ngozi ya mwanadamu na husongwa mara kwa mara na unyevu, vumbi na vipande vya ngozi iliyokufa, na vyote hivi hujishikiza kwenye mizizi ya nywele za kope
 
ukizikuza mara 2000 zinaonekana kama mibuyu ya Tarangire
[HASHTAG]#mimimalenga[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom