Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 722
- 206
Wee mleta uzi si ulitoa simu upige picha ulipoona chura halafu mwenzio kageuza shingo ukajifanya aliyegeuza shingo ndiye ana 'tatizo' kumbe wewe ndiwe uliyeanza kuwa na hilo tatizo?
Chunga ndimi yko ndugu "allahu akbar" ya nn hpo?Juzi nimemuona yule shemela wetu kwa bashite,yule mwingine yule,..aseer ivi kuku akitunzwa vizur ananona eeh,..yallab all Akbar,mashallah,..
Huyo ni mmoja katika wale wanafiki.Chunga ndimi yko ndugu "allahu akbar" ya nn hpo?