VITUKO VYA WAFANYAKAZI WA NDANI NA MAMA WA KMBO VINAFANANA

Dah! Inasikitisha sana. Mwanzo nilijua anamfanyisha mazoezi mtoto disabled,
Nimeirudia kuitazama mara 4!!
Wakati mwingine tunaajiri mashetani bila Kujua. Hasira za housegirl huyo unaweza kuta zimetoka kwa boss wake, zinakuja kuishia kwa Mtoto asiyejua chochote kati yao.
Mungu awahurumie watoto wetu.
 
Juzi nimepigiwa simu na majirani housegirl anampiga mtoto wa mwaka mmoja na nusu!!! I was about to take somebody's life
 
Jaman muwe na uhakika bas na vitu mnavyopost,mtoto anafanyiwa tiba ya viungo na mtaalamu nyinyi mnapost anateswa,huyo anayemfanyia huduma hiyo hamumsikii anaongea na huyo anayechukua hyo video?
 
Jaman muwe na uhakika bas na vitu mnavyopost,mtoto anafanyiwa tiba ya viungo na mtaalamu nyinyi mnapost anateswa,huyo anayemfanyia huduma hiyo hamumsikii anaongea na huyo anayechukua hyo video?
Njoo na wewe nikupe huduma kama hiyo!
 
Anaweza Uwa Mtoto.

Kuna mambo yanayoendelea ambayo huwezi kuyafikiria kichwani hata kidogo.

Huu ni ukatili wa kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom