-Tuliambiwa Mara Navy seals wanafanya mazoezi ya Mara ya mwisho kwenda kumvamia Kim
-Tuliambiwa wale Navy waliomuua Osama wametumwa kuivamia Pyongyang
-Tuliambiwa stealth bombers ndege hatari...
Naona tuanzishe hii post ya kupost picha au matukio yoyote ya wanga yaani mida ya wanga tupia picha yoyote au tukio lolote.
Mimi naanza na hii kwa leo.