The Chosen One JF-Expert Member May 24, 2017 3,578 17,007 Jun 7, 2017 #8 Huyu mama anafaa kuwa waziri mkuu au makamu wa rais naona wamemshusha thamani
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 Jun 7, 2017 #9 Makuwani said: huyu mama mzuri jamani Click to expand... Kamwambie pm hata humu jf yumo
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Jun 7, 2017 #10 Duh, kumbe jitihada za kujipendekeza zilianza muda kidogo. Kuna picha pia akiwa na jamaa siku anakadhiwa cheti cha Ushindi na NEC
Duh, kumbe jitihada za kujipendekeza zilianza muda kidogo. Kuna picha pia akiwa na jamaa siku anakadhiwa cheti cha Ushindi na NEC
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jun 7, 2017 #11 Mpeni mama nafasi akatutumie wana Kilimanjaro, imetosha sasa mwacheni akafanye kazi.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Feb 4, 2015 18,109 20,630 Jun 7, 2017 #12 Makuwani said: huyu mama mzuri jamani Click to expand... Halafu mjane. Hapo lawama hakuna.