Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,137
- 13,824
ok unachangia sh ngapi?Huu uzi unamhusu mtu mkubwa sana. Nimeona nisipite bila kuchangia.
Utaacha RC Arusha aibukie huku usitaje habari ya michango.ok unachangia sh ngapi?
Huu uzi unamhusu mtu mkubwa sana. Nimeona nisipite bila kuchangia.
ok unachangia sh ngapi?
Ohoooo........Utaacha RC Arusha aibukie huku usitaje habari ya michango.
Toba......Watani zangu kwa kupenda Kudanganya + Sifa ndiyo maana Mwenyezi Mungu akaamua kuwatulizeni kwa Ngwengwe, Kuzamishwa 21 May na juzi juzi tu akawatetemesheni na mlipukutika kweli. Naona bado hamjakoma tu!
Comrade.....May be ni Melania wake.
Hata mkono wa kushoto haupaswi kujua.ok unachangia sh ngapi?
Aaagh, kumbe photoshop!!
Naona hii ndo original