Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Huyu mama mpole sana jamani saaah sijui alidanganyika nini kuolewa na huyu bwana
Mi nimependa viti vyake baada ya miaka kadhaa lzm utoke sugu za mikono
Upole wa mtu haupimwi kwa kutazama picha yake.Huyu mama mpole sana jamani saaah sijui alidanganyika nini kuolewa na huyu bwana
Unahisi aliota kua rais?Tunajifunza kutokata tamaa. Ishi ndoto yako
Am telling you the truth wanawake wengi wapole na wazuri wanapendaga sana wanaume flani wakorofi na wababe .Fatilia utakubaliana na mmHuyu mama mpole sana jamani saaah sijui alidanganyika nini kuolewa na huyu bwana
mpumbavu huna hata staha, unaongea usilolijua, watu wameoana na kudumu kwenye ndoa kwa miongo mingi wewe unaleta ujuaji utadhania ndoa yako ndo iko safi!!!Huyu mama mpole sana jamani saaah sijui alidanganyika nini kuolewa na huyu bwana