Kim Jong un anawachekaaa pro USA waliodhania atavamiwa,

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
-Tuliambiwa Mara Navy seals wanafanya mazoezi ya Mara ya mwisho kwenda kumvamia Kim

-Tuliambiwa wale Navy waliomuua Osama wametumwa kuivamia Pyongyang

-Tuliambiwa stealth bombers ndege hatari zimetumwa kufanya kazi kumuondoa incumbent strong leader "Kim" huko NK

-Tuliambiwa nyambizi na vijidege vingine vimeenda kwenye rasi ya Korea kwenda kumaliza kazi .

-meli za kivita zilikuwa zinapambwa sana humu

Wale pro USA njooni mtupe feedback ase
af875ec125634c6a0c0c9590aacc4111.jpg
 
Trump alifyata mkia mwenyewe alikua hajui nini anafanya alifikiria hiyo ni Syria au Iraq akisema jamaa atatetemeka.
 
-Tuliambiwa Mara Navy seals wanafanya mazoezi ya Mara ya mwisho kwenda kumvamia Kim

-Tuliambiwa wale Navy waliomuua Osama wametumwa kuivamia Pyongyang

-Tuliambiwa stealth bombers ndege hatari zimetumwa kufanya kazi kumuondoa incumbent strong leader "Kim" huko NK

-Tuliambiwa nyambizi na vijidege vingine vimeenda kwenye rasi ya Korea kwenda kumaliza kazi .

-meli za kivita zilikuwa zinapambwa sana humu

Wale pro USA njooni mtupe feedback ase
af875ec125634c6a0c0c9590aacc4111.jpg
Mliambiwa na nani? Nyie nani? Kwa niniuchukulie kwa umuhimu habari hizo?
 
Hahahahaaa ni ngum marekan anavamia mataifa yenye Mali lakin hayana silahaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom