Tupia picha za mida ya wanga

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Naona tuanzishe hii post ya kupost picha au matukio yoyote ya wanga yaani mida ya wanga tupia picha yoyote au tukio lolote.

Mimi naanza na hii kwa leo.
008984ac706a0786e05117178cb1c440.jpg
 
Ayaa, ungesema mapema. Nilikuwa the Great Park Tabata, mida ya wanga hii, watu wamekula ngano, wamewaka kinoma...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dah sijui hata kwanini nimefungua huu uzi, kunapicha imenitisha kidogo nitupe simu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sio lazima kugugo
 

Attachments

  • IMG_20170519_231903.jpg
    IMG_20170519_231903.jpg
    9.8 KB · Views: 106

Similar Discussions

Back
Top Bottom