Katuni iliyozua gumzo mtandaoni

Kanda ya kaskazini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
324
268
KATUNI ILIYOZUA GUMZO MTANDAONI



WhatsApp%2BImage%2B2017-06-06%2Bat%2B11.58.49.jpeg
 
Chezea v8 weye!?
Binafsi lazima ngechomoka na kumuacha ZZK aendelee kuwalisha matango pori watu wengine kule kigoma.

Mama, Amepiga hesabu sahihi akaangalia anahangaika na rav4 then leo from no where V8 inampeleka apendapo muda wowote na ulinzi juu Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh teeeh ni chizi tu anayeweza kukataa.
 
Kumbe M/kiti wa ACT ni mdogo kuliko RC? hatari sana kwa zitto.

RC ni rais kwa lugha ya kawaida sana ila mwenyekiti wa chama kisichokuwa madarakani ni mganga njaa kabisaaa Kama mwanachama wa namtumbo , ujiji, maswa.

Mfano, kwa nini hujiulizi, Mbowe, John Cheyo, Mbatia na Zito mwenyewe hadi siku zile za Mrema bado wanapigana vijembe na wanachama wenzao kwenye majimbo ili waende bungeni badala ya kubakia kuwa wenye viti wa vyama vyao!?

Tumbo ,tumbo ,tumbo yaani njaa na Prado, VX, V8 na marupurupu.

Kwa hiyo, Mama ameona asije kufa njaa wakati Zito, anapiga mkwanja na Madeal kule baby care Centre ya kunywa chai ya maziwa ya NIDO na Nescafe Baadaye wanajizungusha kwenye viti usingizi unawapitia hadi Zito anajisahau anasema ndiyooooooooo mahala pa kusema siyoo !!!
 
Ukiwa na msimamo kuna mawili either uwe maskini milele au ufanikiwe sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom