Mheshimiwa "MKULIMA"

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
DBf9-q_XoAAke2b.jpg
DBf-AdZXsAUSYf0.jpg
 
Aisee! Amepiga picha shambani.

Amelima lini na yeye toka astaafu urais yuko angani?
 
Ila mmemuumbua kiaina!
1. Kibaku
2. Mahindi yako mbalimbali kama shamba la mitiki.
 
Kwa hiyo mimea ya fence ilopandwa karibu tu na kiatu, nadhani ameipiga picha amesimama kando ya njia ya nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom