Karibuni wote katika UZI huu utakao kuwa Unaelimisha WATU kwa njia ya Picha..
Ni Picha Mnato ama Video...
Karibuni WAELEVU...WAALIMU..WAFUKUNYUKU (Wadukuzi) na wegine wenye ujuzi unao endana na...
Picha ya kwanza Polisi amebeba kichwa cha mwanamke aliyekuwa mja mzito na kufa papo hapo kwa kiwiliwili kutenganishwa na kichwa ajali iliyotokea huko barabara ya Mandela iliyosababishwa na lori la...
1; ndani ya gitaa. kuna fanana na apatment ambayo huwezi ku afford.
2; hivi, ni vitako vya makarai aka maflampeni. utafikili sayariii.
3; mguu wa huyu mnyama (kiharara). upo kama mnyama PANDA.