pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 407
kumbuka Mungu ni waajabu ndugu, unaweza kukosekana wewe kabla kipaji hicho hakijakosekanaVipaji vya aina hii ni adimu.Hakika tunaelekea kukikosa!
Nisemapo" tunaelekea" Nina maanisha "wengi,walimwengu". Mimi ni sehemu tu na ukweli upo pale pale kwa umri wake ulimwengu atauachia wengine; bila mie au nikiwa mmoja wao- atauacha na utakosa " utani wake!"kumbuka Mungu ni waajabu ndugu, unaweza kukosekana wewe kabla kipaji hicho hakijakosekana
Gabriel!
hapana kuna jamaa flani south africa ndio wanaofanya yote, ila nahis kwa idhini yakemmh yeye kweli huyi?
mier mier mkuuNisemapo" tunaelekea" Nina maanisha "wengi,walimwengu". Mimi ni sehemu tu na ukweli upo pale pale kwa umri wake ulimwengu atauachia wengine; bila mie au nikiwa mmoja wao- atauacha na utakosa " utani wake!"
sio kama yule mzee mwingine mwenye piechidii ya maganda ya koroshoKweli huyu ndio msomi na hayo madegree anastahili
Mugabe anaonekana ni mtu wa kusema yale yasiyosemwa kwa sababu watu wanahofia kuyasema kukwepa kuwaudhi wengine ndio maana nukuu zinazosemwa kama ni maneno ya Mugabe nyingi zinakuwa na ujumbe adimu sana.Huyu mzee anatumika kufikisha ujumbe2 wala sio yeye
Hahahahaha..... ila usiconclude mkuu liache kama lilivo hiyo ni fumbo LA imaniIla wanatoa maneno kuntu umemuona gwajima Ana ma bodyguard Kama nane alaf a nakuambia yesu anatosha kuwa mlinzi huu ni uhuni