Hawa ni kina Nani na uliwaona wapi?

Hawa ni kina Nani na uliwaona wapi?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,113
Reaction score
4,011
7fd15ae4141dcdc1ae2b8912b9a353ae.jpg
 
Baada ya ule wimbo wa fire ball aliomshirikiaha nikki bajaji .. i mean minaj.

Sijui kama alitoa nyingine.

Kaka mtubalitamba mno kwenye the persuit of happiness na karate kid.

Baada ya hapo sijui kama kuna kingine alifanya. Au kama kuna movie nyingine kali alicheza.
 
ile aliyocheza na mzee wake sijui inaitwaje, mbona na yenyewe iko poa tuu!!!!!
 
Back
Top Bottom