Barabara kama hii sijui mkandarasi alikuwa anawaza nini!!!!!

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
cde0b4914adf986936b1e3887508bff6.jpg
 
Sasa na wewe umeamini hiyo picha? Photoshop inaweza kuchukua kichwa chako wakakipachika kwa trump ndio unashangaa artwork dhaifu kiasi hicho? Kwa kukusaidia tu, kibailojia mti lazima utaota kwa kwenda juu hata kama kuna slope kubwa kiasi gani, sasa uliona wapi mimea ikaota kwa kuelekea kushoto/kulia.
Qwi qwi qwi,Eti jamaa nae kaamini ni kweli kabisa..Aise tuna kaz sana
 
Back
Top Bottom